Sunday, September 11, 2011

BAADHI YA MAJERUHI WA AJARI YA MELI WAKIENDELEA KUTAABIKA NA KUPATIWA HUDUMA YA KWANZA









AJARI YA MELI MV SPICE ISLENDER YA ZANZIBAR

Nikweli tumepoteza ndugu zetu watanzania wengi sana japo rambirambi nyingi zimetolewa lakini uhai wao hutarudi tena machoni mwetu, kutokana na ajari hiyo watanzania tumejifunza kwa mara ya pili katika majanga kama haya la kwanza lilikuwa la MV Bukoba pia tulipoteza ndugu zetu.

Wito kwa Serikali ni kwamba inaonekana tupo nyuma sana katika usimamizi wa vyombo vya majini kwa sababu meli hiyo inauwezo wa kubeba watu 500 lakini kwa mujibu wa ripoti mbalimbali inasemekana meli hiyo ilibeba watu zaidi ya 610( je? nini mchango wako kuhusu ajari hiyo) toa maaoni yako hapo chini

USIKU WA PEPSI NDANI YA CLUB VIP NI USIKU WA MARAFIKI KWELI


Bwana pepsi Dj Man Simple akimpa zawadi mshindi wa shindano la pepsi ndani ya club 


washindi wa michano ndani ya usiku wa pepsi wakipata zawadio zao 

Zamu ikafika watu wakapiga kelele kuwa watangazaji wa Nuru Fm kushindana kunywa Soda na hapa ni kati ya Jstar kushoto na Moses Lwago kulia wakishusha pepsi faster faster duuuuuuuuuuuuuuhhhhhhh!!!!!11 



Jstar akiwapagawisha marafiki wa pepsi walioudhuria club VIP siku ya jumatano