MIZUKA YA BONGO
Habari Michezo Burudni na Mengineyo
Friday, September 23, 2011
Tuesday, September 20, 2011
HAPPY BITHDAY BI DADA PAULINA KUYE
Atty Sanga nae ni mmoja kati ya watu walioudhuria birthday ya paulina
Mtoto aliyezaliwa akimtengeneza kola Mc wa Shughuli Sagin Majura
Yusuph Mkule akimpa pongezi paulina
Maregesi Gilishoni nae alihudhuria bithday ya paulina
Happy Matanji, Maija Zayumba na Abba Ngirangwa wakiteta jambo
paulina akipata pongezi klutoka kwa Abba
Moja ya majirani wa paulina walioudhuria sherehe hiyo.
Beatrice Lema, Dj Man Simple na Innocent
Yusuph Mkule, Mama Ashrey na Joyce katika pozi
Happy Matanji
Kata keki tule
Happy Birthday
Kitu cha keki na Punch pembeni
Abba Sizo nae alikuwa partener wa mda katika birthday
Monday, September 19, 2011
Wanafunzi wa Royal College wachangia damu
Wizara ya Afya kupitia mfuko maalum wa kuchangisha Damu salama, leo umetembelea katika chuo cha Uandishi na Utangazaji cha Royal Tanzania College kwaajili ya kutoa elimu na kuchangisha damu.
Wanafunzi wa cho hicho waliweza kupata elimu kutoka kwa mwakilishi wa damu salama ambaye ali;kuja hapo ndugu Joseph na baadaye kujiunga na Staff wa chuo hicho kwaajili ya kutoa damu hiyo.
Miongoni mwa faida ambazo mtu anapotoa damu ni kusaidia watu ambao huenda wangefariki kutokana na kukosa damu, ikiwemo waliopata ajali, wanaojifungua na wenye magonjwa mbalimbali ambayo wanahitaji damu. pia alisema kwamba mtu anapotoa damu huwa anajijua kama yupo group gani la damu, hivyo ni rahisi kwakwe kupata huduma ya damu pindi inapohitaji hivyo kwakuwa anakuwa anajulikana yeye ni group gani. pia amesema mtu huweza kujua afya yake kwakuwa hupima afya bule, bila ya hata gharama wakati hospitalini huwa gharama kubwa kuangalia afya. mwisho mwanachama hupewa kitambulisho cha uanachama ambacho kitakuwa kikimsaidia yeye na familia yake, ingawa hata kama sio mwanachama utapewa damu lakini wewe huwa unajulikana kitaifa kama ni mchangia damu.
Principle wa Cho aliyekaa chini Mr Omary Bahari na
Msimamizi akieleza jinsi ya kuchangia damu, alisema anachunguza, afya, wingi wa damu, magonjwa ya kuambukiza na umri wa mtu anayetakiwa kutoa damu lazima uzidi miaka kumi na nane.
Sunday, September 11, 2011
AJARI YA MELI MV SPICE ISLENDER YA ZANZIBAR
Nikweli tumepoteza ndugu zetu watanzania wengi sana japo rambirambi nyingi zimetolewa lakini uhai wao hutarudi tena machoni mwetu, kutokana na ajari hiyo watanzania tumejifunza kwa mara ya pili katika majanga kama haya la kwanza lilikuwa la MV Bukoba pia tulipoteza ndugu zetu.
Wito kwa Serikali ni kwamba inaonekana tupo nyuma sana katika usimamizi wa vyombo vya majini kwa sababu meli hiyo inauwezo wa kubeba watu 500 lakini kwa mujibu wa ripoti mbalimbali inasemekana meli hiyo ilibeba watu zaidi ya 610( je? nini mchango wako kuhusu ajari hiyo) toa maaoni yako hapo chini
USIKU WA PEPSI NDANI YA CLUB VIP NI USIKU WA MARAFIKI KWELI
Bwana pepsi Dj Man Simple akimpa zawadi mshindi wa shindano la pepsi ndani ya club
washindi wa michano ndani ya usiku wa pepsi wakipata zawadio zao
Zamu ikafika watu wakapiga kelele kuwa watangazaji wa Nuru Fm kushindana kunywa Soda na hapa ni kati ya Jstar kushoto na Moses Lwago kulia wakishusha pepsi faster faster duuuuuuuuuuuuuuhhhhhhh!!!!!11
Jstar akiwapagawisha marafiki wa pepsi walioudhuria club VIP siku ya jumatano
Saturday, September 10, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)