Nikweli tumepoteza ndugu zetu watanzania wengi sana japo rambirambi nyingi zimetolewa lakini uhai wao hutarudi tena machoni mwetu, kutokana na ajari hiyo watanzania tumejifunza kwa mara ya pili katika majanga kama haya la kwanza lilikuwa la MV Bukoba pia tulipoteza ndugu zetu.
Wito kwa Serikali ni kwamba inaonekana tupo nyuma sana katika usimamizi wa vyombo vya majini kwa sababu meli hiyo inauwezo wa kubeba watu 500 lakini kwa mujibu wa ripoti mbalimbali inasemekana meli hiyo ilibeba watu zaidi ya 610( je? nini mchango wako kuhusu ajari hiyo) toa maaoni yako hapo chini
No comments:
Post a Comment