Sunday, July 24, 2011

EIGHT BREAKERS WAANZISHA MECHI ZA WENYEWE KWA WENYEWE KILA IFIKAPO SIKU YA JUMAPILI.


Mchezaji mtaalamu wa timu ya Eight Breaker's Seif Kadria akionekana kupanga mipira wakati alipopambana na mchezaji mtaalamu mwezake Alex, jana Jumapili July,24,2011 ndani ya Babes Sports Bar Silver spring Maryland 


George wa Eight Breaker's Timu, akijaribu kupekua ndani ya Pool Table mpira upi wenye umpigo wa utelezi unaotakiwa katika mashindano hayo ya wenyewe kwa wenyewe yanayofanyika kila jumapili mida ya saa za mchana jijini Washington DC. 

No comments: